
most of us tunajua festive season inaanzanga ukinotice everywhere kuna offers...for example the super crazy one "Black November" and hii trend imekua almost kwa kila biashara saa hii..
wewe kama mesher how are your sales ,umeeka discount in honour of festive season ama ata zako ndo zimepanda bei most expecially pple who sell clothes juu ya mngaro wa Christmas?

0
0
0