
Most of us tunaogopa kuanzisha hii biz ya farming because of several reasons. Tunapata kuwa hii biz ni demanding sana, ni biz inataka kila time uko kwa shamba. Alafu pia kumaintain farm products ni ngumu unapata kua kubuy herbicides ni ngumu sana. Pia unaget kuwa once umefanya all this you end up loosing, profit haupati.. Hizo ndio reasons.
0
0
0