
Most people hawaelewi naongelea nini, in simple terms, binance ni app ka mpesa app, u download then unaverify account yako, ukiclick link nasema unapewa 0.5-1 Busd, 1busd ni 132 bob. Ukitaka kuuza coin unatumia p2p feature. Apo hakuna third party.
0
0
0