Most time wasee wakienda kwa cyber huwa hawaangalii mambo na security. Unaget msee ameacha accounts zake ziko logged in akitoka. Tu protect yourself, ukiingia online kwa any public computer, tumia Guest Mode ama Incognito Mode kwa browser yenye umepreffer ndio hata stima ikipotea hakuna mtu atapata details zako. Na pia usisahau kudelete your downloaded files.
0
0
0