Motivation One day after high school, i started selling vikombe za udongo. So nilikuwa napewa kwa duka then naenda sokoni nauza then narudisha pesa kwa duka na nakula profit. The first day sikuweza kuuza hata one bob. Nmespend transport, nmenunua breakfast, lunch but jioni inafika sijauza hata. The second day niliomba Mungu. Nika amua Kufunga that day. Sikuuza, kufika Saa kumi na mbili na nusu jioni- nkianza kupanga vikombe zangu kurudi home, one customer alikuja haraka. Alinunua dozen 6 za chama Na nilikuwa nauza 400 per dozen. From that time nilijua _ in Business Uvumilivu, kujikaza na kujiamini
0
0
0