
MOVIE SHOPS NA CYBER CAFÉ KU STRUGGLE KU SURVIVE.
Sahi 2024 Movie Shops na Cyber cafe zina struggle sana kusale movies na main challenge ni wasee most wana move to streaming services wanabaki wakiwa na low sales za movies.
Kitambo kidogo mnakumbuka this was the go-to place for locals kufind latest movies. At the moment ni kutry adapting to the digital revolution. Movies lazima to watch.
What are the smartest ways za ku implement this 2024 kama cyber owners na Movie Shop owners zenye zitafanya atleast tusiende miss this year kwa entertainment world.

0
0
0