
#Mr Hassan books and drinks pricing
Before u think of pricing Kuna factors to consider :- 1)Penye unatoa stock yako 2)Price unajukulia stock yako 3)Competitors wako Kwa market wanauza aje
After umea changanua hizo factors uneza Kuwa set Kuanza pricing depending penye unatoa stock - unafaa ku maintain gud customer with ur wholesaler :::ukiwa gud customer uneza Kuwa free Kuuliza wholesaler wako vile Ana manage kufanya pricing on a wholesale way and still make profit Wholesaler aneza kupea some tricks on how to price ur products not only drinks and buks but also other products πβ
Depending on competitors unafaa kuwa makini sana juu Kuna sale wengine wanapata stocks zao kwa njia mbaya sasa wanauza at a low price yenye inaharibu market. So ukienda nao utapata ur biz Ina slow downπ Sasa hapa nakupea some details to price your products according na hizo factors nime highlight. For success biz uskue na tamaa ya profit mob at the start. Itafanya uwe disappointed na uaje biz. Jaribu hii skill na biz ita stand β π
Kasuku ndio brand ya books wanafunzi wanatumia sna. So I advise you utumie hiyo stock
A5-64 pages (wholesaler ksh. 20
Competitor wanauza (ksh. 35)
Wewe Toa hiyo book na ksh. 30)
Profit ni ksh. 10 per book. And with this customer will be frequenting your shopππ
~~~~~~~~Pricing for drinks~~~~~~~
In the case of Energy drinks most competitors wanauza at ksh. 50 probably wholesale wanapick na ksh. 35
So for u to capture high sells rate price it at ksh. 45
After a while utapata customer mob and ur pricing skills will be bestπβ
#success Mr Hassan
