
#Mr Hassan books and drinks pricing✅
***Pricing ni sensitive😎sana kwa biz ili ikuwe either successful or loss. Lakini sasa tunaenda na succes😊✅
Kwanza before uanze pricing Kumbuka hizi kwa stock yako> ~Source yako ya stock ~ni poa sana kupick stock kwa msee mmoja wa wholesale juu utamake u customer na utakua unapata discount. For today's market Kuna hii online market ya Gilanis inafanya deliveries na Ina save transport cost. ~Then chunguza demand ya brand ya drinks na books yenye unaleta kama iko high ama low ~kwa books brand poa sahi ni kasuku Inapendwa sana but iko expensive so ni ukue na trick kw price ~alafu drinks afia Inapendwa than soda sasa ni ucheze kama ww😊😊
PRICING OF BOOKS <<<<<<<
Bearing in mind vitabu zinapendwa ni kasuku na tumesema ni expensive but ni tuendelee kuuza☺️☺️ Angalia competitors wako Wana price aje na ucheze na price yako at moderate profit Gilanis wholesale wanakupea na (@ksh.20 >>64 pages kasuku - A5) Competitor (wanauza @ksh.30) Mr. Hassan (cheza kama supermarket 😂 ksh. 26) (2 books ksh. 55) Hapo utapata plenty customers na pia uko na profit. At most ☺️☺️ utakuwa na sells mob na pia ukuwe na timing ya kuleta vitabu mob during back to school.
PRICING OF DRINKS>>>>>
Ukiangalia market wasee wote☺️ Ata wagonjwa😔 wanatumia afia😊✅
So stock shop yako na afia affordable kwa wote Kumbuka stock yote unachukua from the same wholesale for the benefit of discount which inapeana easy pricing 😊😊yenye tunataka sana✅😁
Afia ndogo (wholesale =ksh. 20) competitor>(anauza ksh. 35) Hassan>(sell at ksh. 32)(2 bottles @65)
una check hii pricing itazambazwa na customers Wana buy na wengine atakam😊✅ SUCCESS!!!!!!!!!!!!!! #hassanpricingtechniques
