Msee akiwa na biz ya shop,, na pia at the same time maybe ako na biz anafaa kutembea ndio afikiye clients wake,, msee kama huyu anaweza balance aje hizi biz mbili at ago🤔🤔
#mesh ni kujengana