
Msee anafaa kukua na products ziko na quality, especially kama unafanya customer facial.. both Kwa kinyozi na salon cause uso ni sensitive sana. Ukitumia vitu poa customer atabambika na pia utapata more customers juu ya feedback poa kutoka kwao.

0
0
0