Msee anafanya ii biz ya Mayai Pasua anafaa kufanya nini ku-observe hygiene hii time ya Coronavirus? #Biashara #Biz