
Msisahau kukuja kunipromote huku Umo. Pia na offer crocheting locs services(interlocking and crochet needle retouch) alafu pia na normal retouch. Kwa wale mko na dready, come let's make the roots rock! To book for any service just call 0790686302, location nishawashow ni Umoja 1 hapo karibu na market. See you soon dear client to be❤️

0
0
0