
MSOTO HACKS.
Ume convert all ya bucks to stock, ukabaki na ya food ya kuskip hadi next sale day. Then unaget shop Landlord ameweka lock. Ama hio day ndio kanju wanavisit. Sisi wa biz hii ni story of our lives. Wewe, hack yako ukiwa gani? Nimejipata kwa hii story several times. Kama hauja join BIz 101 group link hapo juu make sure umejoin ndio #Tujijenge
Hii imeni happenia several times. Mimi kuget bucks from friends/family ukuwa like the second option. POST DATED CHEQUES hapa ndio mama ya all hacks kwangu. Account yenye mimi na run nilimake sure nimepewa cheque book. Na hapa ndio sasa mwokozi ukuwaga juu kakileta kichwa kabisa mimi uchorea like tuseme landlord/kanju/creditor/supplier tu post dated kadhaa juu najua after hio period ntakuwa nimejisort.
Wewe hack yakk ni gani. Kama kawa chapa comments hapa chini ndio tuweze kujengana. Great sale day wana MESH'ers.
#Biz101 #Tujijenge #BizHacks