Mtaani kumekuwa na inspection kutoka kwa county officials na mtu yangu most biz za tei zinakuwa affected sana. Kwenu wamefika na je tuwachanuke kivipi hawa mazakayo?