
MUSIC DISTRIBUTION
Music am sure ni like everybody hobbie, na mimi hapa nimekuwa kwa side za Production, Writing and saa ingine nakuwa in my own songs. Challenge kubwa imekuwa kupata best music distributors. Juu like every music hosting service, eg Spotify, Amazon, Apple Msuic, YouTube Music etc, hazina option unaeza like upload directly design ya YouTube video, so unahave kutafuta Music Distribution Firm ndio content yako ikiwe in those services. This firms saa ingine u charge huge fees per annum and kama wewe ni upcoming unapata inakuwa almost impossible na zile zenye ni free zinakuwa very exploitive.
Saa hizi my jams ziko kwa kila music distribution service, from TikTok, Spotify, Amazon, Apple Music, Instagram, Facebook music segments, thanks to AMUSE Dsitribution. Wako professional pocket friendly and hakuna long waiting period and wana distribute kwa kila platforms.
#MESHCreatives #ContentCreation #ThursdayThrowback