
Mwanzo nilikuwa na experience ya welding but sikuwa na workshop ndio hio life ya mtaani ikanisukuma adi mashinani Biashara ya jua kali products inafanya fity hapa na pia job yangu ya welding bado inalipa With time najua itajipa . Plan and start now hakuna step ndogo kwa maisha
0
0
0