Mwezi wa sherehe na biashara inakaribia… 🎉💼 Swali ni moja, ukiweka savings zako, unaprefer Chama ama M-Shwari? Tujengane kwa comment section 🤲🏽