
My achievement this year imekuwa ku invest kwa new business ya wifi distribution kwa mtaa yangu. The first days haikuwa easy kabisa. Nili struggle na hardware and where to get it cheaply, zone naeza weka boosters and pia kuget clients. But as the year ends nafurahia nimekuwa mwenyeji kwa hii business, with growing client base kila time and kujua hacks kadhaa za kunisaidia kwa hii biashara. #Tujijenge
0
0
0