
my AI experience this week - this week, AI iliniandikia reply ya customer complaint—nilikuwa nimefreeze!, let me tell you what happened;
A client alinitumia message complaining juu ya delay ya order, na honestly sikuwa najua nitamjibu aje bila kuonekana careless ama defensive. Nikaandika ile shida kwa AI, ikanipea response iko polite, inaelezea vizuri na bado inaonyesha niko serious na customer care. Nilituma hiyo message na the client actually akasema asante na akaendelea kumake another order. Lifesaver kabisa!
what was your AI experience this week? share with me below
0
0
0