
My biggest challenge kwa customers wangu ni moja tu. customers who need things on credit. unakuja unapata a good client and they do pay very well for some time then inafika time anakopa then, now halipi sijui ungumu wa kulipa utokea wapi and they stop coming to your shop since unawadi. so inafika mahali now unasikia ungumu wa kukopesha other genuine clients juu hujui kama atabadilika. this has always been a challenge to me juu wengine after ushawafanyia service wanakushow nakutumia then ndio hivo na huwezi reverse some services so inabidi you wait
0
0
0