"My biz is unpredictable. Budget haiwezi work." 😅
Hiyo ndio reason ya kuwa na budget.
Budget si kusema kila kitu kitaenda according to plan.
Ni kujua ukipata pesa, itaenda wapi.
Na isipopatikana, utakata wapi.
Ju bila budget, kila expense huonekana urgent.
Mpaka rent, supplier na salaries zikufikie siku moja. 😂
Na hapo ndipo unasema,
"Tunauza... lakini pesa huenda wapi?" 🤔
Budget haiondoi surprises.
Inakusaidia usishangae kila mwezi.
Wewe budget huwa unafanya, ama unaenda na vile siku imejipanga? 👇
0
0
0