
My cousin Muli and I tuliendanga seminar ya church huko Makindu. Anapenda pesa sana na ni broker mwingine hatari. Obviously such events mimi huenda kusaka connections za job hapa pale. Kidogo nikaspot potential customer. Tukaamua kuenda kustart a convo ju alikua anakaa mapesa, nikamshow mimi ni artist kama Leonardo Da Vinci naeza mchora adhani ni picha printed. Cousin yangu hukua na nduthi lakini akasema ati pia yeye ni artist and it runs in our family. Venye aliuliza rates mi nikasema A4 mi huanza 1200/=. Muli hajui anything about art buana yeye alisema rates zake ni 300/= for A4. Our customer kidogo kidogo nikaona ametoa notebook na pencil bana akapea my cousin afanye a quick sketch of her. Nikajua hapa ni blunder tu. Buana sketch ilikua inakaa imechorwa na mtoi wa class 2. Tuliambiwa sisi ni jokers and tufocus na mambo ya church yenye ilituleta hapo. Nliudhika sana. Hua mnadeal aje na brokers? Ama hawa wa I can do It at a cheaper price?
NB. Hii Ndio Sketch muli alifanya😂😂

