
My dearest biz,
Nilianza hii biz juu, hapa penye nastay tulikuwa tunastruggle sana kutafuta place ya kutoa doh, kubuy fresh milk na kubuy vitu baridi kama soda. Tulikuwa tunaenda far kutafuta hizi stuff. So juu nilikuwa a stay at home mom at that time, nilidiscuss na my partner anihelp kufungua shop atleast nijikeep busy nayo kuliko kukaa tu kwa nyumba and finally i opened it but nilianza na mpesa kwanza but sasa unaona iyo shop yote pekee haiwezi kaa idle after a. Year or 2 nikaleta fresh milk then later nikaleta soda sasa na hizi vitu small small kama diapers na eggs. Hii biz imenipea lessons kadhaa from those challenges zenye napitia almost daily. Niliipenda juu sometimes i get frustrated and angry but when i see the complement from my customers it keeps me going, they're my treasures and i value them mpaka saa zingine nisipoingia job naona nawadissapoint. This hustle ilinibamba na naipenda juu iko na freedom ya kwanza na ndio hunibamba zaidi ni I'm always next to my kids. I like being next to my kids na hii ndio main thing ilifanya nifanye hii biz juu pia ni karibu na home it saves me alot.. my dearest biz continue being good to me iwe ata in my bad or good days sitawai give up na wewe.
