My fellow youth sometimes nivizuri kusaidiana unaeza kua unawork somewhere na siikiu wanataka kuongeza wafanyi kazi nipoa kuokoleana hata unapost kwa any group utasaidia mayouths wengi coz saa hii hata usome aje kazi utanunua
0