#My first1k nilienda kubuy groceries na vegetables apo toi market in order to start a small kibanda businesses
My budget:
Kienyeji ya 300 Sukuma ya 100 Spinach ya 70 Nyanya ya 150 Vitungu ya 130 Maembe ,machungwa na ndizi (fruits) ya 250 So in veges nilibuy total ya 470 in which i made profit ya 250 Nyanya- profit ya 50 Kitungu profit ya 70 Na fruits profit ya 150 The total profit ya 1k ilikuwa 530 in which iliniboost nikaanza kuongeza na kuexpand na vitu kama sweets,royco cubes na sachets na omo za ten bob. And by the end of one month nilikuwa capable ya kuopen shop na bado kuendeleza kibanda ya mboga.
0
0
0