
My guys, ati mlikua mnasema ni apps gani fiti for mobile video editing? I want to sample nisettle na yenye iko best. š„š¦. Kinemaster š„š¦.Capcut š„š¦.VN editor š„š¦. Alight Motion š„š¦. Inshot Kaa kuna yenye nimeacha tebu mseme pia buana.

0
0
0