
My guys tebu you rate my thumbnail ya youtube video before niwashow hii trick nliona watu wakitumia kuingiza doh youtube buana. ▶️. unatengeneza channel YouTube with names such as "254News Updates", "LiveUpdates Kenya", "254Breaking Updates " etc. Cheza tu kiwewe hapo kwa channel name ikae legit. ▶️. Livestream events kama za sport ama political rallies to your phone ama laptop. Eg hii London Marathon imehappen jana. ▶️. Edit by trimming ubaki na interesting parts. Eg ile part Kelvin Kiptum alishinda ▶️. Crop out ama block logo ya the broadcasting event alafu useti yako pale juu kwa corner sana sana. ▶️. Create a catchy thumbnail yenye unajua itanasa audience kama hii nmecreate hapa. ▶️. Come up with an interesting headline eg "Kiptum Smashes London Marathon Record: Second Fastest Ever, Next to Kipchoge! ▶️. Post!!! Copyrights hawaezi kunasa hapo. Alafu obviously unafaa kukua consistent mtu wangu.
