My HUSTLE inadeal na kuuza mtumba shorts ie cargo shorts na official ones I gained interested doing this baada ya kufanya na my sister ever since nikiwa class five Even though hio time sikupenda kuenda hio job,but with time as I grew nikaanza kupata interest Niliamua kufungua yangu Nikiwa campus nlikuwa nafanya na ilinisaidia kulipa keja,some smaller expenses What keeps me going ni ati huwezi kosa ata customer Moja kwa siku that is kama job mbaya Also Niko na dream ya kufungua duka kubwa yenye itakua recognized all over that's why najituma daily ...and i hope itajipa siku moja
0
0
0