
My journey na #MESH imekuwa Soo constructive wasee...πͺπͺπͺ In 2020 you all know that corona ilikuwa imeshika mbaya,hawa wasee it's like walikuwa God sent....πππwaliniwahi grant ya 3k yenye niliunganisha na savings kidogo nkaanza PIG FARMING. From that time my life imechange in a positive way saaaaaaaaaaaaaaana...π The ideas za wasee wenye tume-connect nao hapa #MESH ni Kali, innovative na zimeni-help sana kugrow n tu know how to start savings.π°π°π° #MESH walileta platform/institutions za kupewa loan the likes of ENEZA ambao loans zao ni flexible na hazina interest iko juu,this also has been one of my BOOSTERS in my hustle kwasababu capital is no longer an issue to me....βββ I mean guys nani kama #MESH????????ππππ