My ka home studio building up pole pole. System ni kubalance passion na hustle. Juu like they say, unatafuta hustle 3 kwa life, moja ya kulipa bills, ingine ya exercises na ingine ka hobbie ya kile uko na super passion on.