My Mode saa hizi ni Surviving and not living. Niko na two source of income na kila siku ni cycle ya kulipa madeni zero ya ku save.
Haki mesher mna manage aje hapa nje?