My name is Daniel ok nlikua na kibanda nlikua nauza all types of fruits bt vile vile covid iliingia wateja wakapungua therefore capital ya kuendea stock ikawa ni ngori