
My name is Felix from Kisii County,I'm an orphan dad alipass last year akaniachia my siblings. I'm 25yrs Old. Mimi ni first born kwa familia ya watoto six .huwa nafanya hustle ya kukatia watu nyasi na machine lawnmower and brush cutter. So unfortunately niliibiwa machine Yangu ya brush cutter sai Sina hutsle kama ningepata hiyo machine ya brush cutter Maisha yangu itachange and my siblings watakuwa sawa since they depend on me. For now naitaji tu Brush cutter since it's cheaper than lawnmower. It's 17500 only
0
0
0