
My name is Max from Huruma, came to learn about Mesh about 2months ago, downloaded the app, Been trying kuchapia wasee about Mesh uku mtaa, nimetuma download link ya app kwa groups za whatsApp, nimechapia mabeste, lakini sioni wasee wakiichukulia serious, out of 10 i think ni msee mmoja tu anajua about Mesh, na ni after nimekua nikimkumbusha adownload app, ajoin hii Community, Mesh is really a good Family, the only platform that was created for the Youth, for us, Give Mesh some 2 Years ivi, life za mayouth uku mtaa zitachange,tuache kuskia story za drug addiction, Crime,Coz thats the situation uku, na ni ju ya mayouth kukosa hustles, For me i think this Ambassadorial Challenge itakua poa uku mitaani, jua wasee wengi watajua about Mesh na watafaidika na hii platform, Come rescue Us ðŸ˜ðŸ˜Œ #BrandAmbassadorChallenge