My name is Newton Mudinyu main hustle angu ikiwa kuunda viti vitanda azin carpentry in joinary but currently nikuzunguka different places looking for clients ju bado am still young its a challenge na trust issues but nikukazana though capital ya kubuy my tools ndo issue na kupata rent ya kuanzisha mahali yangu
0
0
0