
My pal @[Ellie Stae] nikama anaomoka buana. Nliona akiwa na online shop hananga stress mingi za kama kulipia rent ya shop borake ako active na bundles kazi ni kutake orders, kureply inquiries za customers etc, sasa anaeza shikanisha jobs kadhaa za online at once. Leo nmelearn ideas na venye yeye hufanya from Grace
https://meshlife.page.link/...

0
0
0