
My pal Marto anakuanga na talent ya kuimba lakini huwa anajihurumia ju hajui ataanzia wapi. Ako na songs kadhaa ameandika unampatanga kwake akiwa ame'nice mbaya sana akiflow nazo. Juzi nlimshow aingie dm ya Motif Di Don aulize kurecord song moja ni how much akasema aliskia lazima mtu akue na kama 50K hapo. Nikaona hapa itabidi achukue guitar aende pale tao Archives aanze kuimba watu wamchangie aingie studio. Lakini ubaya ni sidhani guitar itaingiana na gengetone na kurap kama Khaligraph ju hio ndio genre yake. Shaka tu. Ebu mnishow venye mnaeza saidia Marto ju ako na passion na dream ya kutoka block.

0
0
0