
My productivity hack this year,imekua tu from apa Mesh na AI tools kama OpenAI,ii from this platform Mesh, nimepata Ideas mob na Kulearn alot from my fellow Farmers.Kuna Gigs Huwa zinakua posted na kuzipitia , Through that na acquire new knowledge of which hua naenda ku implement direct kwa field.Through this,nikicompare this year na past 3 years Kuna steps nimemake kwa biz yangu ya poultry bana☺️
0
0
0