
My Take: Creatives wengi wanataka fanbase, lakini hawako ready kuonyesha "work in progress" na "Behind the scenes" Kitu hujui ni ati wasee wanapenda kuona journey vile inahappen, sio tu final product. Pia accountability, so wewe post hiyo sketch, hiyo rough draft, hiyo clip hujui kaa ni fiti. Authenticity ndio itajenga fanbase real. Welcome 😌

0
0
0