
#mykanjostory me nafanya mixed business so nauza viatu chipo na kamotel kadogo license yangu ni ya motel pekee so kuavoid ngori me huenda kwa office every date five ama first monday in a month nabonga nao so wakikam wanajuwa hiyo base hakuna noma but before ilikuwa ngori.kama mesher usiogope jitokeze bonga watakuskiza hawa kanjo ni binadamu tutoroka hadi lini kujieleza nipoa kwa business life
0
0
0