#MySavings
Mimi hii mwaka nilikuwa nime do ka savings kiasi, until nilipoanza tu project kadhaa twa investment, so nika end up using most of the savings already. But uzuri nime invest sio ku spend meaning na expect ku gain back.
0