Na advocate for climate change in Korogocho, shugli naduu ni kupanda fruit trees na bamboo in order to provide carbon sinks coz hii mtaa iko highly polluted.