
Na deal na phones and accessories..hustle ilikuwa noma mbeleni bt sai naona imeanza kujirudi...mda wa covid ilibidi niwe na post kwa stocks zangu kwenye WhatsApp groups,status ,fb na pia APA mesh ilinisaidia kupata customer sana....ambapo adi waliongezeka...ikanisadia nisile mtaji...na pia profit
0
0
0