Na hapa tunasema ni kupromote each other lakini sijawahi kuwa promoted Kwa business yangu. Ama ni marketing strategy mbaya?