
Na hii biz ya fundi wa viatu hukuwa na challenges kama gani! To the consumer" Mimi Leo nimepeleka kiatu kwa fundi akanisomea nikifail kurudia nitaanza kulipia storage" funny enough hakuwa ameshona by the time nimepita kupick which is 2hrs later the agreed time! Ushaijipata k a scenario kama hii, ulideal aje na fundi wa viatu #Tuchapiane
0
0
0