Na mlipe loans wadau.😂
HELB sasa inadai access ya KRA na NTSA ndio ifuatilie wale hawalipi loans. 😂
Wanasema kuna wasee wamebuy magari lakini bado hawajalipa ata bob ya HELB.😂