
Na own business ya kuuza nguo za madem, ku refill perfume na kuuza jewelry Najua nyinyi wote you into business na the business world especially retail is full of ups and downs Mimi this year hii business imenifunza how to bounce back from low seasons, unsold inventory and unexpected challenges kama weather ku change tu ubruptly Nimejifunza ku select best products zenye customers wanapenda according to trends and customers preferences thus improving marketing techniques and fine tuning prizing na thank pia mesh juu hizo videos zao za teachings zimenifunza mengi Nimejua pia ku understand my customers needs and everything for me lessons nime learn 2024 ndio Nita tumia 2025 to continue expanding my biz
0
0
0