
Na plan ku start farm ya ducks, na rabbits. What. I wana do this for 1 year..kama ni rabbit najuwa ntakuwa na rotation poa. Then ducks najuwa in six months time ntakuwa na kitu 30 matured that can be slaughtered. Zangu ntakuwa nakinda kama ziko already cooked, or alternatively nta open ka hoteli ya kuuza tu nyama ya sungura na nyama ya ducks at an affordable price. Majama tukuwe creative, hiyo V8 unaeza nunuwa cash but only if you are creative enough. Challenge moja inafanya napiga research mbaya.
0
0
0