Na ujue kuconvince Mkenya ni kitu ingine ngumu sana kama hauna rangi ile ya mrussia Mi nakumbukua tumeenda na ndugu yangu Omwami meeting angalau tupate contract maisha ikue soft apa Nairobi, mkubwa tulikua tupatane nayeye akasema meeting tuifanye pale Cjays Omwami ameteremsha coffee latte pale aki pitch hii plan yetu kwa hii mdosi akijua mambo hapa imeingiana, lakini mkubwa akaleta excuse akasema haiwezi, Nikaambia Omwami apa nikama Nairobi hatutoboi, lakini kumbe Omwami alikua ameita ule manzi yake mali safi wa coprate kwa hii meeting, mschana anaingia meeting na zile high heels kong kong kwanza hoteli inanyamaza imwangalie, Ule msichana aliongea tu maneno mbili mkubwa akatupea ile contract, mimi na Omwami tukajua hii Nairobi angalau haitatutema nje. Sasa juzi niliambia watu hapa Mesh wanichangie nianzishe biashara ya chakula hakuna mtu alituma, woooiii. Sijui niwaletee hii mschana ya Omwami Ama wekeni ya chai hapa basi 0758529557