Na vijana mjue that inakuanga ngumu kubarikiwa ukiwa kwenu. Lazima uende kwa watu hawakujui kabisa in a new place. Tafuta pesa kidogo chomoka kwenyu kuwa exposed na Mungu atacheza kiyeye.